ARSENAL YANAWA MIKONO KWA HIGUAN, ATUA RASMI NAPOLI
Inaonekana Arsenal imepoteza nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa kiargentina Gonzalo Higuain ambaye imemuwania kwa muda mrefu baada ya mshambuliaji kukaribia kujiunga na klabu ya Napoli ya Italia.
Kwa mujibu
wa mtandao wa Sky News ni kwamba hivi sasa nchini Italia mshambuliaji
Gonzalo Higuain na kipa wa Liverpool Pepe Reina ambaye nae alihusishwa
na Arsenal huko nyuma wapo kwenye vipimo vya afya vya kujiunga na klabu
ya Napoli.