Kwa Kipindi kirefu amekuwa akionekana kuwa mwenye mwili nadhifu na  mengine yakizushwa kwa kila aina ya usemi....Lakini Blog yako ya KABUMBU SPOTI  imeweza  Kujua Lililo nyuma ya pazia... 
 The Prezdah wa Bongo Movie Vicent Kigosi almaarfu kama  Ray the Greatest, ameamua kueka kando mambo yote ya starehe  na hivi sasa yuko gym kutengeneza  mwili wake na Afya kwa ujumla ili kulitumikia vyema Taifa lake la  Tanzania kupitia tasnia ya Film..
  Zifuatazo ni Picha kadhaa tu Star Huyo wa BongoMovie akiwa  Gym akitengeneza mwili kiujumla... |