Azam
FC imetoka sare ya 1-1 na CISM (Kombaini ya timu za Jeshi) katika mechi
ya kirafiki iliyochezwa leo jioni Azam Complex, magoli yamefungwa na
Hussein Nyamandulu wa CISM na Tchetche Kipre kwa Azam FC.
CISM
inaundwa na wachezaji wa timu za Jeshi ambazo ni JKT Ruvu, Mgambo, Ruvu
Shooting,Oljoro,Transcamp, Kipanga na Rhino Rangers ipo katika
maandalizi ya kushiriki Mashindano ya timu za Majeshi Afrika Mashariki
yatakayofanyika August 5-17 jijini Nairobi nchini Kenya

CISM inaundwa na wachezaji wa timu za Jeshi ambazo ni JKT Ruvu, Mgambo, Ruvu Shooting,Oljoro,Transcamp, Kipanga na Rhino Rangers ipo katika maandalizi ya kushiriki Mashindano ya timu za Majeshi Afrika Mashariki yatakayofanyika August 5-17 jijini Nairobi nchini Kenya