Azam FC (Pichani sekeseke langoni kwao) imehitimisha ziara yake Afrika Kusini kwa kipigo cha bao
1-0 kutoka kwa wenyeji, Moroka Swallows katika pambano lililopigwa
kwenye Uwanja wa Volkswagen Dobsonville.
Mchezo dhidi ya Moroka ulikuwa wa tatu kwa kikosi
cha Azam, baada ya kucharazwa mabao 3-0 na Kaizer Chiefs, kisha
kudunguliwa mabao 2-1 na Orlando Pirates na ushindi pekee wa bao 1-0
dhidi ya Mamelodi Sundowns.
Katika pambano la jana, bao pekee ya Moroka
lilikwamishwa wavuni na Felix Obada aliyetokea pembeni na kufumua shuti
akiwa nje ya 18.
mashindano ya Kombe la Shirikisho mwakani.
Naye kocha Stewalt Hall wa Azam alisema timu yake
ilicheza vizuri, lakini ilishindwa kutumia nafasi ilizopata.Subhead
andika hapa , andika hapa,andika hapa Subhead andika hapa andika, andika
hapa, subhead andika hapa, andika hapa,