come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

GERRARD AAGWA KWA HESHIMA LIVERPOOL, YAUA 2-0

Great occasion: Steven Gerrard (right) and Joe Allen celebrate after the latter opened the scoringLIVERPOOL imeshinda 2-0 dhidi ya Olympiakos ya Ugiriki katika mchezo maalum wa kumuaga Nahodha wake, Steven Gerrard baada ya kuitumikia klabu kwa miaka 15.

Mabao ya Wekundu hao wa Anfield katika mchezo huo yalifungwa na Joe Allen dakika ya 23 na Henderson dakika ya 62. 
Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet/Jones dk85 Johnson, Toure/Carragher dk62, Agger, Enrique; Allen/Henderson dk62, Gerrard/Spearing dk85, Lucas, Coutinho/Fowler dk72, Sterling/Alberto dk72 na Aspas/Suarez dk62. 
Olympiacos: Megyeri, Maniatis, Fejsa, Mitroglou/Saviola dk56, Samaris/Weiss dk46, Holebas, Medjani/Manolas dk56, Slovas, Siovas, Campbell, Salino na Dominguez.
Double up: Jordan Henderson struck the second goal just 12 seconds after coming on

On the ball: Luis Suarez was in action for Liverpool
Luis Suarez alicheza kwa Liverpool jana
Fans' favourite: Suarez collects the ball before the Anfield faithful
Kipenzi cha mashabiki: Suarez akimiliki mpira upande wa mashabiki