come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

MAYWEATHER APANDA ULINGONI LEO KUZIPIGA NA MKALI WA MEXICO

Time to shine: Floyd Mayweather and Canelo Alvarez face off after weighing in ahead of their Las Vegas fightKazi ipo leo: Bondia Floyd Mayweather kushoto akiwekeana mikwara na mpinzani wake, Canelo Alvarez baada ya kupima uzito jana tayari kwa pambano lao usiku wa leo mjini Las Vegas

Floyd Mayweather and Canelo Alvarez
Floyd Mayweather and Canelo Alvarez
Hapana asante: Saul 'Canelo' Alvarex aligoma kushika taji la WBC kuelekea pambano lake na Floyd Mayweather
No thanks: Saul 'Canelo' Alvarex refused to hold the WBC belt ahead of his fight with Floyd Mayweather
No thanks: Saul 'Canelo' Alvarex refused to hold the WBC belt ahead of his fight with Floyd Mayweather

KICHWA KWA KICHWA

Floyd Mayweather
REKODI: 44-0
UREFU: 5'8"
UZITO; Pauni 150.5
UMRI: Miaka 36
STAILI: Orthodox
MASKANI: Grand Rapids, Michigan

Saul 'Canelo' Alvarez                                                     
REKODI: 42-0-1
UREFU: 5'9"
UZITO; Pauni 152.
UMRI: Miaka 23
STAILI: Orthodox
MASKANI: Guadalajara, Mexico
On the money: Alvarez made the 152lb catch-weight limit despite fears he would come in heavy
Alvarez alipata uzito wa Pauni 152
Fans' favourite: The majority of the crowd at the weigh-in were supporting the Mexican Alvarez
Mashabiki wa Mexico tayari kumsapoti Alvarez
Floyd Mayweather
Saul Canelo Alvarez
Mayweather amepata uzito mdogo kuliko mpinzani wake
As good as ever? Mayweather is coming off the back of an impressive victory over Robert Guerrero
Kabla ya pambano la leo, Mayweather mara ya mwisho alimshinda kwa kishindo Robert Guerrero
Last time out: Alvarez beat the previously undefeated Austin Trout earlier this year
Alvarez naye alimpiga Austin Trout mapema mwaka huu, ambaye alikuwa hajapigwa kabla
Mouthwatering: Danny Garcia (left) and Lucas Matthysse (right) face each other on the undercard in Vegas
Pambano lingine kali: Danny Garcia (kushoto) atapigana na Lucas Matthysse (kulia) leo pia Las Vegas.