come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

DIAMOND PLUTINUM, WEMA SEPETU WARUDIANA RASMI

Imebainika kwamba msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abdul 'Diamond Plutinum' (Pichani Diamond na Wema wakila raha hivi karibuni)  amerudiana rasmi kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana wakiwa katika lindi la mapenzi hivi karibuni.


Kwa mujibu wa watu wa karibu wa mastaa hao wanasema kuwa Diamond na Wema wamerudiana rasmi kimapenzi na sasa wanaonekana kuwa na furaha, mbali ya kurudiana kwa mastaa hao wawili ambao walikuwa wapenzi wakubwa hapo nyuima kabla ya kutengana.

Diamond ameonekana kufurahia penzi la demu wake mpya Penny ambaye hivi karibuni walikuwa katika sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa ya Diamond ambayo ilifanyika kwenye kitanda.

Hofu kubwa imezuka juu mahusiano mapya kati ya Diamond na Wema ambapo Penny amekataa katakata kuwa Diamond hawezi kurudiana na mpenzi wake huyo wa zamani kwani yeye ndiye anayetesa naye kwa sasa, Kulingana na mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamimi inasema kuwa Diamond amemrudia mpenzi wake wa zamani.