come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

JAY-Z ALAMBA DILI NONO KUTOKA SAMSUNG.


Rapper Jay-z kutoka Marekani amelamba dili nono kutoka kampuni ya simu Samsung aliweka wazi usiku wa jana.

Jay-z akionekana kwenye video Promotion aliyofanya ya dakika 3akiwa studio,ikiwataharifu mashabiki zake duniani kote kuwa ''Kila mwenye simu ya aina ya Samsung Galaxy atawezakupata Album yake Mpya inayoenda kwa jina la''MAGNA CARTA HOLY GRAIL'' ambayo ameizindua cover
ya Album jumapili ya Juzi wakati wa mechi ya kikapu kati Miami Heat vs San Antonio Spurs nchini Marekani.

Watumiaji wa Samsung Galaxy wataweza kupata Album hiyokupitia Application itakayokuwepo kwenye simu hiyokuanzia July Mosi,hiyo itakuwa baada ya siku tatu Jay-z kuiachia Album yake hiyo....

Video hiyo ya Promo kuweka uhakika zaidi akifanyia kazi album
yake hiyo inamwonesha akiwa studio naproducer Timbaland,mwanamuziki Swizz Beats na Pharrell
williams wakimalizia matayarisho ya album hiyo.

Samsung wameweza kununua copy Milioni Moja za Album hiyomahususi kwaajili ya watumiaji wa Samsung Galaxy kwa kiasi cha dollar za kimarekani Milioni 5 kwa pesa za kitanzania ni zaidi ya Bilioni 7.2...
Katika kuleta ukaribu na Jay-z na Samsung waliweza pia kuingia nae ubia wa mwaka mmoja kutangaza Simu zao Galaxy tu kwa kitita cha dolla za kimarekani milioni $20 zaidi ya
bilioni 36 za kitanzania.

Hii inatokana na mashindano ya kibiashara zaidi kutokana na Samsung kuonekana kushindana kwenyebiashara na Kampuni ya simu za Apple wanaotengeneza simu za Iphone na Brand nyingine za Mitandao.

Hii inakuwa sawa na Msanii Beyonce mkewe na Jay-Zalivyosaini mkataba na pepsi,kama mwanamuzii wa kike Alicia keys alivyosaini mkataba  kampuni ya simu zaSmartphone Blackberryna wengine wengineo.

All the best kwa Jay-Z hii naonesha ni jinsi gani muziki wao unathaminiwa kutokana na kazi zao nzuri kuweza kupatamikataba minono.