Kwa mujibu wa chanzo kimoja cha karibu, mwanamuziki huyo anatarajia zawadi ya kipekee kutoka kwa mpenzi wake.
Licha ya mpenzi wake, Kim Kardashian, 32 kumpatia
Kanye zawadi ya maalum uya ujauzito, chanzo hicho kimebainisha kuwa
mwanamuziki huyo anataka kuambiwa kuwa anapendwa huku akihakikishiwa
kuwapo kwa amani katika maisha yao ya mapenzi.
Kanye West hataki kuona mpenzi wake akiandaa
sherehe kubwa ya kumpongeza kwa kuwa hataki kumchosha kutokana na hali
yake ya ujauzito.
Hiyo ndio maana mwanamuziki huyo ameamua kwenda New York ambapo atakuwa akipiga shoo siku hiyo.