 MASHETANI wekundu wa Liverpool
 Football Club wamefanikiwa kumsainisha mshmabuliaji wa Kihispania Luis Alberto ambaye alikuwa akikipiga na klabu ya Sevilla inayoshiriki ligi kuu ya Hispania, Liverpool imetumia fulsa hiyo na kumtambulisha mbele ya mashabiki wake.
 
Tayari mchezaji huyo wa kimataifa ameonyesha kufurahishwa kwake kujiunga na timu hiyo ambayo ilipata kutikisa katika soka la kimataifa duniani