Italia ilipata mabao yake kupitia kwa Giaccherini dakika ya 51 na Chiellini dakika ya 71.
Kikosi cha Brazil kilikuwa; Julio
Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz/Dante dk33, Marcelo, Gustavo,
Hernanes, Hulk/Fernando dk76, Oscar, Neymar/Bernard dk68 na Fred.
Italia: Buffon, Abate/Maggio dk30, Bonucci, De Sciglio, Chiellini, Candreva, Aquilani, Marchisio, Montolivo/Giaccherini dk26, Diamanti/El Shaarawy dk71 na Balotelli.
Neymar akifunga
Emanuele Giaccherini akimtungua Julio Cesar baada ya kupokea pasi ya Mario Balotelli
MSIMAMO KUNDI A KOMBE LA MABARA
Timu | Mechi | Kushinda | Sare | Kufungwa | Mabao ya kufunga | Mabao ya kufungwa | Pointi |
Brazil | 3 | 3 | 0 | 0 | 9 | 2 | 9 |
Italy | 3 | 2 | 0 | 1 | 8 | 8 | 6 |
Mexico | 3 | 1 | 0 | 2 | 3 | 5 | 3 |
Japan | 3 | 0 | 0 | 3 | 4 | 9 | 0 |
Katika
mchezo mwingine wa kundi hilo, Javier Hernandez alifunga mabao mawli na
kukosa penalti Mexico ikiifunga Japan 2-1 na kumaliza katika nafasi ya
tatu kwenye Kundi A.
Bao la Japan lilifungwa na Shinji Okazaki na sasa Brazil inaungana na Italia kusonga Nusu Fainali.
Nyota: Javier Hernandez amefunga mawili dhidi ya Japan