NANI anamuhitahi Luis Suarez? Hilo ndilo
lilikuwa swali kwa Brendan Rodgers baada ya Daniel Sturridge kufunga
bao pekee la ushindi dakika ya 21 Uwanja wa Villa Park usiku huu dhidi
ya wenyeji Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Johnson, Toure, Agger, Enrique, Gerrard, Lucas, Henderson, Aspas/Cissokho dk68, Coutinho/Allen dk83 na Sturridge
Aston Villa: Guzan, Lowton/El Ahmadi dk65, Okore, Vlaar, Luna, Westwood/Helenius dk83, Delph na Bacuna.
Maujuzi: Sturridge akimzunguka kipa wa Aston Villa, Brad Guzan kabla ya kufunga