Siku ya wapendanao kutakuwa hapatoshi jijini Tanga wakati mastaa wawili Diamond Plutinum na Ney wa Mitego watapanda jukwaa moja na mkali wa hiphop anayechipukiakwa sasa Mkola Man siku ya wapendanao maarufu zaidi Valentine Day.
Kwa mujibu wa waandaaji wa shoo hiyo wamesema kuwa Diamond na Ney wa Mitego bado hawajathibitisha kama wataudhiria shoo hiyo lakini Mkola Man tayari amemalizana nao na mipango inanendelea kuhakikisha mastaa haowanashiriki katika shoo hiyo.
Wakazi wa jiji la Tanga wanawasubiri kwa hamu kubwa nyota hao ambao kilammoja anatamba na wimbo wake, Diamond anatamba na wimbo wake wa My Number One, wakati Ney anatamba na Nakula Ujana huku Mkola Man anatamba na Kilevi Changu
