City
waliuanza vibaya mchezo huo baada ya kutanguliwa na Sunderland kwa bao
la Borini dakika ya 10 kabla ya kuzinduka kipindi cha pili na kuwamaliza
wapinzani.
Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, Yaya Toure dakika ya 55, Samir Nasri dakika ya 56 na Jesus Navas dakika ya 90.
Kikosi
cha Man City kilikuwa: Pantilimon, Zabaleta, Kompany, Demichelis,
Kolarov, Nasri, Toure, Fernandinho, Silva/Javi Garcia dk77,
Dzeko/Negredo dk88 na Aguero/Navas dk58.
Sunderland:
Mannone, Bardsley, Brown, O'Shea, Alonso, Ki, Larsson/Fletcher dk60,
Cattermole/Giaccherini dk77, Colback, Johnson/Gardner dk60 na Borini.
Nasri akishangilia baada ya kufunga
Wachezaji wa Manchester City wakisherehekea Uwanja wa Wembley