come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

HODI...HODI DODOMA, CHIFU PANDUKA KUPELEKA MAAJABU YAKE, WABUNGE WAANZA KUWEWESEKA

Mganga mwenye jina bongo Chifu Panduka mwishoni mwa wiki hii anataraji kubisha hodi mjini Dodoma ambapo bunge la Bajeti linaendelea na vikao vyake na mganga huyo ameahidi kufuatilia nyendo zao.


Panduka anatarajia kutimba Dodoma hivyo wakazi wa mji huo watarajie miujiza yake, mganga huyo anayesifika kwa kutibu maradhi mbalimbali na kutoa vitu vibaya majumbani, mashambani na mwilini pia anatua hivi punde.

Atafikia mahari gani hilo ni suala la kusubiri kisha kuona, uwezo wa Chifu Panduka unasifika mahara mbalimbali duniani ambapo tego lake la nyoka ndilo linalompa umaarufu mkubwa mganga huyo na kujizolea watena lukuki.

Aidha mganga huyo ameweka hadharani namba yake ya simu hasa kwa wale wanaotaka kuwasiliana naye moja kwa moja ambapo ni 0715 281162.