Wachezaji
wa Kibrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kushoto na Santana Santos
'Jaja' kulia wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana kushuhudia mechi
kati ya Tanzania na Msumbiji kuwania tiketi ya Fainali za Mataifa ya
Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco. Tayari wauza jezi za timu hiyo
wameingiza sokoni jezi ya Coutinho. |