Once Again Baada ya Mizunguko ya hapa na pale shopping kadhaaa na wanyama wangu Nilipokea simu kutoka kwa Mtoto wa Kamanda Mkuu wa Kanda ya Dar es salaam,Suleiman Kova Aishie Nchini Uingereza wakuitwa Hussein Kova, Alinialika cha mchana kwake...!! Unajua watanzania tulvy wakarimu sehemu yoyote.... Nami nkaitikia wito nkaamua kufunga safari na kuenda mpaka Birmingham kujumuika nae na familia yake kupata chakula cha mchana!! Nilifurahi sana na kuamini kwa asili aipotei.....na kufuta zile fikra zote za kuwa watu wakiishi nje hususani ulaya ubadilika tabia na mwenendo kuwa na tabia kama za watu wa mangaribi..!! Nilipokelewa vizuri kama nipo nyumbani tz..!
ZIFUATAZO NI PICHA MBILI NIKIPATA CHAKULA CHA MCHANA NA HUSSEIN KOVA: |