Kaseja maedai Kigoma ni nyumbani kwao ni kila mara anapopata likizo hurejea, Lakini pia amesema akirejea jijini ataweka mambo yote hadharani kuhusu mustakhabali wake wa soka, Kuhusiana na Simba Kaseja maekataa kuzungumza isipokuwa amedai akili yake kwa sasa ipo kwenye timu ya taifa.
'Nikirejea jijini Dar es Salaam nitaweka hadharani mustakabali wangu kuhusu soka, Hata hivyo Kaseja alikataa kuzungumzia masuala ya usajili kwa madai muda haujafika
.jpg)