Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hiyo na uzinduzi kwa ujumla.

Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo.Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.

Lulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa kazi hiyo.
.Mwenyekiti
wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza katikati akizungumza na
baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake
Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo
Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo
Muigizaji Vicent Kigosi Ray
akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa
Mlimani City.


