come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

ACTRESS ODAMA JENNIFER KYAKA MUANIKA MTOTO WAKE KWA MARA YA KWANZA


Baada ya watu na mashabiki wa star wa filamu nchini Odama Jennifer Kyaka kusubiri kwa hamu kubwa kumuona mtoto wa star huyo aliyejifungua hivi karibuni bila mafanikio.


Hatimaye star huyo kupitia Instagram leo hii amemuweka wazi mwanae huyo alijifungua takribani miezi miwili na nusu iliyopita.

Vile vile filamu ya Inside toka kwa Odama itaingia rasmi sokoni tarehe 17 mwezi huu wa July. Usikose kununua nakala yako halisi.