
Bingwa namba mbili wa Tennis, Rafael Nadal
Bingwa namba mbili wa mchezo wa
Tenis Rafael Nadal amejitoa kutoka kwenye michuano ya US Open kutokana
na jeraha la kifundo cha mkono wa kulia.
Nadal alikua na matumaini ya kupona kabla ya tarehe 25 mwezi huu.