come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

'VICHWA VYA KALE' YA BATAROKOTA IMEKAMILIKA.

Wimbo mpya wa hip hop 'Vichwa vya kale' wa msanii Batarokota Linda aliyowashirikisha watu wa Gola tayari imekamilika na ameisambaza katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza na ‪STAA WA LEO  Batarokota amesema wimbo huo wenye mahadhi ya hiphop umeonyesha jinsi gani anavyoweza kubadilika kimuziki.


'Wengi wamenizoea katika muziki wa asili, lakini 'vichwa vya kale' nimefanya hiphop na ukibahatika kuisikiliza unaweza kushangaa mwenyewe', alisema. Wimbo huo umerekodiwa katika studio za MO Record chini ya mtayarishaji Q The Don,