come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

PATA PICHA ZA MWANADADA LULU ALIPOZINDUA FILAMU YAKE

1Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti  wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hiyo na uzinduzi kwa ujumla.



9
10Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu.
1211Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo.Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.
14
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.

1a
4Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo
5Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo
Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City.