MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Neymar (Pichani) mwenye
umri wa miaka 21 ameiongoza Brazil kuifunga Ureno ya Cristiano Ronaldo
wa Real Madrid mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana.
Mabao ya Brazil yalifungwa na Thiago
Silva, Neymar na Jo, wakati bao pekee la Ureno ambalo ndilo lilikuwa la
kwanza kwenye mchezo huo lilifungwa na Meireles.
Kikosi cha Brazil kilikuwa: Julio Cesar,
Maicon, Thiago Silva, Luiz, Maxwell, Paulinho/Henrique dk83, Gustavo,
Ramires/Oscar dk61, Bernard/Hernanes dk68, Jo/Pato 76 na Neymar/Lucas
Moura dk89.
Ureno: Rui
Patricio, Joao Pereira/Postiga dk70, Pepe/Luis Neto dk46, Bruno Alves,
Fabio Coentrao/Antunes dk54, Veloso, Vieirinha/Lica dk84, Meireles, Joao
Moutinho/Ruben Amorim dk59, Nani na Nelson Oliveira.
Ushindi huu umekuwa faraja zaidi kwa kocha Luiz Felipe Scolari kuwafunga waajiri wake wa zamani.
All eyes on me: Neymar bewitched the Portuguese all night, capping a magnificent display with a remarkable solo goal
Dancing for joy: Raul Meireles (left) and Miguel Veloso (right) celebrate the opening goal
Party time: Portugal flock to celebrate the first goal
Making contact: Bruno Alves connects with Neymar's jaw shortly before the equaliser
Parity restored: Thiago Silva meets Neymar's corner with a thundering header to level the score
Close run thing: Nani (right) reacts after missing a chance
The centre of attention: Neymar received a standing ovation after another sublime display
Jump to it: Jo (third left), who scored the third, clears a corner
Flying lesson: Portugal's Joao Pereira (right) falls after colliding with Brazil's Paulinho