Baada ya watu na mashabiki wa star wa filamu nchini Odama Jennifer Kyaka kusubiri kwa hamu kubwa kumuona mtoto wa star huyo aliyejifungua hivi karibuni bila mafanikio.
Hatimaye star huyo kupitia Instagram leo hii amemuweka wazi mwanae huyo alijifungua takribani miezi miwili na nusu iliyopita.
Vile vile filamu ya Inside toka kwa Odama itaingia rasmi sokoni tarehe 17 mwezi huu wa July. Usikose kununua nakala yako halisi.