come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

KOCHA MKUU AZAM ATOWEKA.

Kocha mkuu wa Azam FC Joseph Marius Omog, amesafiri kurudi nchini Cameroon kumalizia likizo yake ambako atakaa kwa muda wa wiki mbili kabla ya kurejea nchini tarehe 20 December kuendelea na majukumu yake.

Kocha Omog amekuwa kwenye majukumu ya kazi tangia January 2013 na timu ya AC Leopards ambapo alimaliza majukumu yake Novemba 24 kwa kutwaa vikombe vya FA na Ligi kuu kisha kurudi nchini Cameroon kukaa siku nne tuu kabla ya kuja nchini ku-sign mkataba wa kuifundisha Azam FC


Kabla ya kuondoka kocha ameacha program ya wiki mbili kwa wasaidizi wake Kally Ongala na Ibrahim Shikanda ambao wanapewa sapoti na na kocha wa Under 20 Vivek Nagul