WANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND
Mchezaji Bora wa Mwaka: Luis Suarez (Liverpool).
Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka: Eden Hazard (Chelsea).
Mchezaji Bora wa kike wa Mwaka: Lucy Bronze (Liverpool Ladies).
Mchezaji Bora chipukizi wanawake: Martha Harris (Liverpool Ladies).
Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka: Eden Hazard (Chelsea).
Mchezaji Bora wa kike wa Mwaka: Lucy Bronze (Liverpool Ladies).
Mchezaji Bora chipukizi wanawake: Martha Harris (Liverpool Ladies).
Wazi
tuzo hiyo inakuja kupoza machungu ya mchezaji huyo anayevalia jezi
namba saba baada ya misimu iliyopita kufungiwa kwa kumkashifu Patrice
Evra mwaka 2011 na kusababisha mzozo mkubwa msimu uliopita alipofungiwa
mechi 10 kwa kumng'ata beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic.
Akiwa
amekosa mwezi wa kwanza wa msimu huu akitumikia adhabu hiyo, Suarez
alirejea Liverpool mwishoni mwa September nmwaka jana na kuunda pacha
kali la ushambuliaji kwa pamoja na Daniel Sturridge.
WASHINDI WA AWALI WA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND
1973–74 Norman Hunter Leeds United
1974–75 Colin Todd Derby County
1975–76 Pat Jennings Tottenham Hotspur
1976–77 Andy Gray Aston Villa
1977–78 Peter Shilton Nottingham Forest
1978–79 Liam Brady Arsenal
1979–80 Liverpool FWA
1980–81 John Wark Ipswich Town
1981–82 Kevin Keegan Southampton
1982–83 Kenny Dalglish Liverpool
1983–84 Ian Rush Liverpool
1984–85 Peter Reid Everton
1985–86 Gary Lineker Everton
1986–87 Clive Allen Tottenham Hotspur
1987–88 John Barnes Liverpool
1988–89 Mark Hughes Man United
1989–90 David Platt Aston Villa
1990–91 Mark Hughes Man United
1991–92 Gary Pallister Man United
1992–93 Paul McGrath Aston Villa
1993–94 Eric Cantona Man United
1994–95 Alan Shearer Blackburn Rovers
1995–96 Les Ferdinand Newcastle United
1996–97 Alan Shearer Newcastle United
1997–98 Dennis Bergkamp Arsenal
1998–99 David Ginola Tottenham Hotspur
1999–2000 Roy Keane Man United
2000–01 Teddy Sheringham Man United
2001–02 Ruud van Nistelrooy Man United
2002–03 Thierry Henry Arsenal
2003–04 Thierry Henry Arsenal
2004–05 John Terry Chelsea
2005–06 Steven Gerrard Liverpool
2006–07 Cristiano Ronaldo Man United
2007–08 Cristiano Ronaldo Man United
2008–09 Ryan Giggs Man United
2009–10 Wayne Rooney Man United
2010–11 Gareth Bale Tottenham Hotspur
2011–12 Robin van Persie Arsenal
2012–13 Gareth Bale Tottenham Hotspur
Tuzo mbili: Gareth Bale alishinda tuzo zote, Mwanasoka Bora chipukizi na Mwanasoka Bora England mwaka jana