Nahodha wa England na club ya
Liverpool Steven Gerrard hatimaye ametundika daruga kuichezea timu ya
taifa lake la England akiwa na miaka 34. Gerrard amejiimarisha kwenye
kikosi cha uingereza tangu mwaka 2000 walipoipiga Ukraine kwa mabao
mawili kwa nunge.
Hivi sasa Gerrard atakuwa katika nafasi za juu za ubalozi katika chama cha soka cha England.
Anastaafu akiwa amecheza michuano mikubwa sita na kufunga mabao 21. Na hivyo kushika nafasi ya tatu baada ya Peter Shilton na David Beckam.