Staa anayefanya vizuri kwenye filamu za kitanzania Frank Mohamed Mwikongi amesema kuwa hana lengo la kuingia kwenye siasa kama baadhi ya wasanii wenzake ambao siku za karibuni wameamua kujiingiza katika siasa.
Akizungumza na mtandao huu jana Frank anayetamba na filamu kibao sokoni alisema "kwakweli sina mpango wa kuwa mwanasiasa bali
naweza kuwa mfuasi wa chama cha siasa hilo ni sawa", alisema Frank.