come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

MAMA WEMA SEPETU AANZA KUMKUBALI DIAMOND PLUTINUMZ, WEMA AJAWA FURAHA

Baada ya Mariam Sepetu ambaye ni mama mzazi wa Wema Sepetu kutokumkubali Diamond Platnumz kama mpenzi wa mwanae hatimaye mama Wema ameanza kumkubali Diamond.

Akizungumza na burudani Wema amesema kuwa kwa muda mrefu alikuwa hana maelewano mazuri na mama yake sababu ya uchumba wake na superstar huyo wa Bongofleva lakini kwa sasa ameanza
kumkubali"Mama nilikuwa nikimsihi sana juu ya uchumba wangu na Diamond lakini sasa tumefikia hatua nzuri namshukuru Mungu amekubali, maana siku hizi nikionana naye ananiuliza vipi mwenzako mzima, anaendeleaje, wakati mwanzoni haikuwa hivyo" alisema Wema.