come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

DIAMOND, NAY WA MITEGO KUFANYA USIKU WA MUZIKI GANI MAISHA CLUB

Katika hali ya kuweka matashititi kwa mashabiki wa Bongo
Flavour & Hip Hop,Diamond Platnumz
na Nay wa Mitego wamejipanga vilivyo kuakikisha wewe
shabiki wa pande zote mbili unapata kitu roho inapeda....

Katika Usiku wa Nay wa Mitego & Diamond Platnumz ndani
 ya Maisha Club kutakuwa na vitu vingi sana
vya hatari na vya kinyama sana kwa mashabiki
 wa Diamond na Nay....!!

Usikose kufika ndani ya Maisha club Siku ya Jumapili ya
Tarehe 25.5.2013 kushudia mpambano mkali na kumaliza
utata kati ya watu hawa wawili......

Kama wewe ni Msafi au Mgumu,siku hiyo kutakuwa kuna
WHITE CARPET & GREEN CARPET....
Kama wewe ni msafiii unajua kuwa Muziki wa Bongo fleva
ndio unakukosha na kukuliwaza ukiwa
na Mtoto mzuri Nyumbani kwako.....Basi white Carpet
itakuhusu sana kwa wale wasafi na warembo,Flowers za mjini
watahusika sana pale........

Kwa wale wagumu......watoboa pua na waongeaji sana Basi
GREEN CARPET itakuhusu sana kupita pale
kutia support kwa Nay a Mitego mahana kura zitahanza
kupigiwa pale pale na wahamuzi mtakuwa wenyewe
kuona ni wangapi na wingi wa watu ulienda wapi........!!

Baada ya hapo ni ndani kuangalia show kali ambao aijawahi tokea
kwa mara ya kwanza ndani ya Maisha
club Nay wa Mitego & Diamond Platnumz watashambulia Jukwaa
kwa hali ya tofauti kabisa...

USIKOSEEE SIKU HIII.....USISUBIRI KUADISIWA
 NJOO USHUUDIE NA KUJUA MUZIKI WA KWELI
BONGOLAND......