KITUO cha kuendeleza soka kwa watoto chini ya miaka 10-17 Tabata Football Academia kilichopo Tabata shulee jijini kinatarajia kuansiha shule maalum kwa ajili ya kufundisha wanamichezo pamoja na ujasiliamali kwa vijana kuhusu kukabiliana mamisha baada ya soka.
Akizungumza na mtandao huu jana Mwalimu wa kituo hicho cha kuendeleza soka kwa vijana Chriss Maganga 'Boban' (Pichani) amedai mpango wao huo utaanza muda wowote kuaniza sasa baada ya kufanikiwa kupata ofisi yao ya kudumu.
Boban amedai mipango hiyo itakamilika kutokana na kuahidiwa na wafadhili mbalimbali
