come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

CHELSEA YANOGEWA NA MABABU,MOURINHO KUSAJILIMWINGINE

KOCHA Jose Mourinho anaweza kumpa Mkataba wa mwaka mmoja mkongwe wa Inter Milan, Javier Zanetti kuichezea Chelsea.

Muargentina huyo anayetimiza miaka 41 mwishoni mwa msimu, alikuwa Nahodha wa Inter Milan ambayo ilitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya chini ya Mourinho mwaka 2010.

Na inafahamika kocha huyo wa Chelsea yuko tayari kumpa Zanetti ofa fupi na nafasi ya kuingia kwenye benchi la Ufundi akistaafu Stamford Bridge.