
Akiwa
amekwishawahi kufichua ndinga yake ya hatari aina Bentley wakati
akicheza Manchester City, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23
amefichua magari zaidi ya bei mbaya tangu amerejea Italia mwaka jana.
'Demu' wa Balotelli, Fanny Neguesha ameweka kwenye ukurasa wake wa instagram magari ya nguvu wiki iliyopita.
Mkoko: Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha ameshea video ya gari za nyota wa Milan ikiwemo Ferrari yake nyekundu

Funguo za mafanikio: Neguesha pia ameshea funguo tatu zote za gari za Balotelli
Unaikumbuka hii? Wakati akiwa Manchester City, Balotelli alishea gari lake aina ya Bentley