Mrembo wa Kimanjaro akiwa amepozi na mpenzi wake Mkali Fizo ambaye baadaye walipigana picha chafu zinazotia kinyaa.
IMEKAA vibaya: ndicyo unavyoweza kutamka, Kusambaa kwa picha chafu kwenye mitandao ya kijamii na hasa ikiwahusu watu maarufu nchini na kupelekea bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania linaloketi mjini Dodoma kuja kulaani vikali.
Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania limekuja juu kufuatia picha chafu zinazodaiwa kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii, hivi karibuni picha chafu zinazomuhusu mbunge wa Mbinga mashariki Mhe Kapt John Damian Komba zilitikisa.
Badaye picha za mwanamuziki mashuhuri nchini Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' na mpenzi wake Wema Isaack Sepetu zilinaswa katika mitandao ya kijamii na kuzua sekeseke bungeni.
Masikini! Mrembo aliyepigwa picha chafu na mpenzi wake ambaye aliwahi kushiriki Miss Kilimanjaro
Picha hizo zilizokosa maadili kwa taifa zilichukua saa kadhaa wabunge kuzijadili na kukemea vikali tabia hiyo, bunge limetaka sheria kali ichukue mkondo wake kwa watu wanaosambaza makusudi picha hizo- wakati bunge likiendelea kulaani vikali, picha chafu nyingine zimeendelea kuonekana katika mitandao ya kijamii.
Safari hii zikimuhusisha aliyewahi kuwa mshiriki wa nashindano ya urembo mkoani Kilimanjaro (Miss Kilimanjaro 2013) jina tunalo na msanii wa kizazi kipya Fadhil Kimbendela 'Mkali Fizo' wakiwa katika mahaba mazito.
Huyu ndiye Mkali Fizo anayedaiwa kumpiga picha chafu mpenzi wake.
Mbali na mahaba hayo, wawili hao walipigana picha za utupu na kuziweka katika mtandao wa kijamii wa Istragram, picha hizo chafu zinaweza kuibua maswali mengine ya sintofahamu.
Mtandao huu umezinasa picha hizo za wawili hao wakiwa katika nyumba ya kulala wageni na nyingine zikimuonyesha mnyange huyo akiwa mtupu yaani kama alivyozaliwa.
Mwandishi wetu amefanya mahojiano na msanii Mkali Fizo anayetamba na wimbo wake wa Mapenzi Ujinga ambaye anadaiwa kuvunja amri ya sita na mnyange huyo wa Kilimanjaro ambapo alikana, alipoulizwa kuhusu hizo picha chafu walizopiga alibaki kimya na baadaye kutoweka ghafla.
Staa wa Leo inawaomba radhi wasomaji wake hasa kwa kuweka picha hizo lakini ili iwe fundisho kwa wengine imeamua kuziweka hewani picha hizo za ajabu zinazomuhusu mnyange huyo na msanii ambao wote ni kioo cha jamii.