![]() |
|
|
|
Gareth Bale amesema hataki kuona nyota mwezake Cristiano Ronaldo akiondoka Real Madrid kurudi Uingereza kwenye ligi ya Premier.
Licha ya Ronaldo kuendelea kufyatua mabao ikiwemo matatu wikendi jana dhidi ya Athletic Bilbao yaliomfanya kutoshana na rekodi ya ‘hat-trick’ ya La Liga na magwiji wa kitambo, Telmo Zarra na Alfredo Di Stefano na 22, tetesi zimetanda ananuia kurudi klabu chake cha Manchester United musimu ujao wa kiangazi.
Hivi majuzi, ripoti zimechipuka kuwa Ronaldo anaweza vuka mpaka na kujiunga na watanashari jirani wa United, Manchester City na Bale ametangaza hataki nyota mwenzake kurudi kwenye ligi ya Premier.
“Kamwe sitaki. Amedhirhirisha ni mchezaji wa kiwango cha kimataifa kila mwaka baada ya mwingine kwa kufunga mabao kocho kocho. Bila shaka, hatutaki aondoke na ninataka asalie hapa Real Madrid,” Bale alisema.