come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

GARETH BALE TAYARI KISHATUA REAL MADRID


Baada ya jana kuripotiwa kwamba jezi ya Real Madrid namba 11 yenye jina la Gareth Bale imekuwa inauzwa kwenye maduka mengi barani ulaya - leo hii klabu ya Real Madrid kupitia mtandao wake rasmi imeanza kuuza jezi namba 11 kwa kiasi cha £53.


Hatua inakuja baada ya mkurugenzi wa ufundi wa Spurs Franco Baldini akiripotiwa kuwa jijini Madrid kukamilisha taratibu za kumuuuza Bale kwa ada ya uhamisho ya £94m.