Ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa facebook ambapo amedai uvaaji wa hereni uliendana na kinyume na sasa atovaa tena, 'Kwa sasa nimeshakuwa mtu mzima masuala ya kuvaa hereni naona kama naenda kinyume', alisema.
Leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwigizaji Hemedy Suleiman maarufu kama Hemedy au Fernando (a.k.a yake mpya) amesema kuwa hatavaa tena hereni kwenye kuigiza kwani ameshakuwa mtu mzima sasa.
Hemedy ambaye hivi majuzi alisherehekea kutimiza miaka 27 ya kuzaliwaameandika kuwa kama mtu mzima, hata vaa tena hereni katika movie zake. Hatujaweza kujua kama ataacha kabisa kuvaa hereni au ni kwenye uigizaji tuu