Mtwara mjini
Moja ya kivutio kwenye shoo alizofanya msanii Diamond mkoani Mtwara na Lindi,ni Waziri wa mambo ya nje,mheshimiwa Bernad Membe kutenga
muda wake,na kujumuika na wananchi na kufurahia pamoja kazi aliyokuwa akiifanya jukwaani.
Familia ya WCB, pia alipata wasaa wa kuhutubia wanachi na kusistiza zaidi suala zima la kuilinda na kudumisha amani,ambayondiyo nembo yetu watanania.