come
COSTA RICA,UHOLANZI ZAFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
Los Ticos: Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao, Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora. Costa Rica imeenda Robo Fainali kwa ushindi wa penalti 5-3 baada ya sare hiyo ndani ya dakika 120 na sasa itamenyana na Uholanzi, ambayo mapema iliitoa Mexico kwa kuifunga mabao 2-1.
Uholanzi hao wakishangilia baada ya kuilaza Uruguay mabao 2-1 na kufuzu robo fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 huko Brazil