come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA.



                                      Haruna Shamte akipambana na Simon Msuva wa Yanga...
                   Nahodha wa Yanga Nadir Haroub akinyanyua ubingwa wa ligi kuu ya VODACOM msimu
                    wa 2012/2013



                                            kikosi cha Simba kilichoanza hii leo....
                             Makocha wa Yanga Ernst Brandts pamoja na Felix Minziro wakijadiliana jambo.....




                                                     Sir Juma Nature pia alikuwepo kutoa burudani.....




  Hili ndo lilikuwa bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Didier Kavumbagu kwa kichwa....
   Mrisho Ngassa akiwa amevalishwa jezi ya YANGA kwa mara nyingine tena huku akiwa amefurahi kweli kweli...



                                      Mwamuzi wa mchezo wa leo Saanya akiwa chini mara baada ya kuumia.....