Kwa Kipindi kirefu amekuwa akionekana kuwa mwenye mwili nadhifu na mengine yakizushwa kwa kila aina ya usemi....Lakini Blog yako ya KABUMBU SPOTI imeweza Kujua Lililo nyuma ya pazia...
The Prezdah wa Bongo Movie Vicent Kigosi almaarfu kama Ray the Greatest, ameamua kueka kando mambo yote ya starehe na hivi sasa yuko gym kutengeneza mwili wake na Afya kwa ujumla ili kulitumikia vyema Taifa lake la Tanzania kupitia tasnia ya Film..
Zifuatazo ni Picha kadhaa tu Star Huyo wa BongoMovie akiwa Gym akitengeneza mwili kiujumla... |