Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza mechi |
Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni msanii Abdul Kiba |
Msanii wa Wanaume Halisi KR-Mula akishangilia na washabiki wa Bongo Flava..timu hiyo ilishinda 2-0 dhidi ya Bongo movie katika mikwaju ya penati. |
Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H-Baba. |