come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

MAPAMBANO YA NGUMI YA HALIMA MDEE VS WOLPER NA AUNTY EZEKIEL VS ESTHER BULAYA YAISHA KWA SARE


Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.
Wolper na Halima Mdee

Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Pambano lao liliisha kwa sare pia.