Mgeni wa rasmi wa tamasha la matumaini Raisi Jakaya Kikwete akiongozana na marefa kuingia uwanjani tayari kukagua timu za wabunge wa Simba na Yanga |
Wimbo wa taifa |
JK akisalimiana na timu ya wabunge wa Simba |
Mgeni rasmi akisalimiana na upande wa wabunge wa Yanga |
Wabunge wa timu ya Yanga wwakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe kwa kuifunga timu ya wabunge wa Simba kwa penati 4-3. |