come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

CHELSEA WAIPA UNITED JUAN MATA AU DAVID LUIZ NA PAUNI MILIONI 10 JUU WAPEWE ROONEY

KLABU ya Manchester United imekataa ofa ya kwanza ya Chelsea kwa ajili ya Wayne Rooney - Pauni Milioni pamoja na mchezaji.

inafahamu wachezaji wawili walioambatanishwa katika ofa hiyo United ichagua mmoja ni Mchezaji Bora wa Mwaka, Juan Mata au beki Mbrazil, David Luiz.
United imesema Rooney hauzwi na kocha wa Chelsea, Jose Mourinho sasa lazima aamue kuweka gungu tu la maana la fedha mezani.
Something on your mind? Wayne Rooney arrives at Manchester United's training ground on Wednesday
Lolote mawazoni mwako? Wayne Rooney akiwasili viwanja vya mazoezi vya Manchester United leo kwa mazoezi

Rooney v United?

David Moyes' first home game in charge of Manchester United is against... you guessed it, Chelsea on August 26.
Will Rooney line up against his former side or will he be made to sweat until the transfer window closes on September 2?
Klabu hiyo ya Stamford Bridge imeonywa, isithubutu kurejea na ofa ya pili, kwani United haina mpango wa kumuuza Rooney kwa klabu nyingine ya Ligi Kuu England.
Arsenal pia imetoa ofa ya awali ingawa pia imetoa ofa kwa Luis Suarez na Gonzalo Higuain.
Mourinho yu tayari kuwauza Mata na Luiz, ili fedha atakazopata kutokana na mauzo ya wawili hayo atumie kumnunua mchezaji wa United.
Rooney anafikiri amefikia kilele cha mustakabali wake na hana zaidi cha kuthibitisha baada ya misimu tisa Old Trafford.
Inafahamika mshambuliaji huyo wa England amechanganyikiwa na kukerwa na maneno ya kocha mpya, David Moyes kwamba hatauzwa sababu ndiye mbadala wa mshambuliaji chaguo la kwanza, Robin van Persie.
Up for grabs? Chelsea have offered Juan Mata (above) or David Luiz (below) in part-exchange for Rooney
Chelsea imewaofa United Juan Mata (juu) au David Luiz (chini) pamoja na Pauni Milioni 10 wapewe Rooney
David Luiz
Mourinho aliwasha moto jana katika jitihada zake za kuwania saini ya Rooney kwa kutoa onyo kwamba, matumaini ya England yatakuwa madogo Kombe la Dunia kama mchezaji huyo atabakia United. 
Chelsea imehamishia nguvu zake kwa Rooney baada ya wachezaji iliyokuwa inawataka awali kuwakosa wote, Radamel Falcao amekwenda Monaco na Edinson Cavani katua PSG, zote za Ufaransa.
Mourinho alisema: "Ikiwa Wayne ni chaguo la pili kwa Manchester United, kisha timu ya taifa itaathirika.’