Bao
lililomfanya Moyes aweke kumbukumbu ya kuanza vibaya Man United
lilifungwa dakika ya 50 na mchezaji anayevaa jezi namba 14 wa All-Stars,
Teeratep Wonothai kwa shuti la mbali. Bao lililomfanya Moyes aweke
kumbukumbu ya kuanza vibaya Man United lilifungwa dakika ya 50 na
mchezaji anayevaa jezi namba 14 wa All-Stars, Teeratep Wonothai kwa
shuti la mbali. Bao lililomfanya Moyes aweke kumbukumbu ya kuanza vibaya Man United lilifungwa dakika ya 50 na mchezaji anayevaa jezi namba 14 wa All-Stars, Teeratep Wonothai kwa shuti la mbali. KOCHA mpya wa Manchester United, David Moyes jana ameanza kazi vibaya baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji Singha All Stars XI mjini Bangkok.
Bao lililomfanya Moyes aweke kumbukumbu ya kuanza vibaya Man United lilifungwa dakika ya 50 na mchezaji anayevaa jezi namba 14 wa All-Stars, Teeratep Wonothai kwa shuti la mbali.

Tom Cleverley akimtoka Mario Djurovski

Danny Welbeck akikabiliana na Kim Yoo-Jin


Ben Amos akipangua mpira huku Rio Ferdinand akiwa tayari kumsaidia.
