come

come
Tuletee habari za kijamii, michezo na burudani, email kabumbu1935@gmail.com

JUMA NATURE AMENDA KUMFARIJI PROFESA JAY

STAA kutoka kiumeni Juma Nature alikuwa miongoni mwa wasanii waliokwenda kumfariji Profesa Jay ambaye naye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alifiwa na mama yake mzazi hivi karibuni