|
BMW alilozawadiwa Wema Sepetu |
Pengine hii ndiyo birthday ya mwaka hasa kwa celebrities wa Kitanzania
baada ya Wema Sepetu kuzawadia zawadi kibao yakiwemo magari mawili moja
Nissan Murrano jeusi alilozawadiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz na
jingine BMW hatari la rangi nyeupe zawadi toka kwa mtu mwingine ambaye
jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
Hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani Wema ana damu kali ya kupendwa na watu.
|
Nissan Murrano alilozawadiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz |