Baada ya filamu zake nyingi kufanya vizuri sokoni na kusapoti jamii
isiyojiweza mara kwa mara mashabiki wa muigzaji Nisha Salma Jabu
wanataka muigizaji huyo awe balozi wa mambo ya kijamii kupitia kazi zake
za sanaa .
Hiyo inatokana pia na kuwa Nisha ni mmoja wa
waigizaji wanaojituma katika kazi zao huku akijiweka mbali na skendo
ziizo na maana.
Nisha amekuwa akitoa hamasa kwa wanawake na pia kusaidia yatima hususani kila mwezi.